MzikiYoutube videos

Ssaru ft Trio Mio & Timmy Tdat – Kichwa Tu

Ssaru ft Trio Mio & Timmy Tdat – Kichwa Tu ni Kazi moja hatari sana na muungano wa watatu hawa umeleta utofauti sana kwenye soko mziki.

Kichwa tu ni nyimbo yake Ssaru anayefanya vizuri sana nchini Kenya. Kuwahushisha Trio MiO na Timmy dat kutasaidia sana nyimbo hii kupenya. Ili kuitazama video ya Ssaru ft Trio Mio & Timmy Tdat – Kichwa Tu bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *