Youtube videosMziki

Stamina ft Marissa – Paradiso | Video

Stamina ft Marissa – Paradiso ndio nyimbo inayotesa anga ndani ya afrika mashariki. Stamina ameamua kama ni mbaya wacha iwe mbaya. Huyu ni Kati ya wasanii wanaosemekana kutoogopa yeyote yule.

Stamina ako kikundi kimoja na Roma mkatoliki na kama Kuna wasanii hawaogopi basi ni hawa. Ili kuitazama video ya Stamina ft Marissa – Paradiso, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *