Sukari – Zuchu official video hewani
Baada ya ngojangoja, hatimaye video ya Sukari ya msanii zuchu imeachika. Ni video ilifanywa kwa mazingara tofauti na vile tumezoea video za wasafi.
Tazama na hii pia ( babalevo ft. Diamond platnumz
Ina ladha mpya na bila shaka hauchoki kuitazama. Kwa Mara ya kwanza tazama Sukari – Zuchu official video
20,750 total views, 1 views today