Mchipuko

Tanasha afanya uamuzi mkali kuhusu mtoto wake na diamond

Baada ya fununu kuwa tanasha Donna wameachana na diamond platnumz, matukio yanazidi kujitokeza.

Tanasha amebadilisha jina ya mtoto wake kwenye Instagram na kulitoa jina la baba mtoto diamond platnumz. Hiyo haikutosha, alizifuta zile picha zote alizopiga yeye, mtoto na diamond platnumz.

Siku kadhaa zilizopita, tanasha aliweza kuwatoa familia yake diamond platnumz kwa account yake ya Instagram. Hakuna yeyote katika familia ya diamond ameweza kuongelea tukio hilo. Wengi wanadai kuwa huenda wanatafuta kashfa (Kiki) Kama ilivyo desturi ya wasanii wengi wa kibongo ili waweze kusukuma kazi yao ya mziki maana inasemekana watu wakikuongelea sana, umaarufu wako wazidi kupanda.

Yetu hapa ndani ya mwangaza ni jicho tu Ila tutazidi fuatilia ili tuweze kuwapa taarifa kamili.

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *