MzikiSanaa

Tanasha Donna aiaga familia ya diamond platnumz

Siku tatu baada ya kufuta picha zote za diamond platnumz, Tanasha ameiaga familia nzima akidai kuwa hawezi kuwa kwa uhusiano na diamond platnumz Tena. Tanasha amedai kuwa na diamond ni kuumiza moyo bure.

Tanasha amesema kuwa hatarudi kamwe huko na ataendelea na maisha yake Kama ilivyokuwa hapo awali. Ni wiki kadhaa baada ya hawa wawili kuachia nyimbo ya “gere”. Nyimbo hiyo ilipata mapokezi mazuri na iliweza kupata zaidi ya views milioni mbili

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *