Maisha

Tazama vile Tanasha Donna alivyosherekea birthday yake

Tanasha Donna ambaye alikuwa mchumba wake diamond platnumz amesherehekea siku yake ya kuzaliwa. Mwanamke huyu kwa sasa ako na miaka ishirini na tano. Birthday yake ya huu mwaka, aliamua ku post picha kwa Instagram page yake huku kavalia kama mhindi.

Tanasha kwa sasa ni mwanamke anayeonekana kufanikiwa akiwa na umri mdogo kuliko wanawake wengi wenye umri sawia na yeye. Kwa sana anajihushisha na kusaidia kikundi flani Cha mayatima. Kwa sasa mziki wake unajulikana zaidi afrika nzima na ulimwengu kwa jumla.

Jina la tanasha Donna lilipanda wakati alipokuwa mchumba wake diamond platnumz. Kumbuka waliwahi kufanya colabo na diamond platnumz, Gere” iliyotikisha ulimwengu mzima.

Akisherehekea siku yake ya kuzaliwa, tanasha Donna alijitambulisha kama mwanamke jasiri na anayependa mziki na roho yake yote.

Kwa sasa hajaachia mziki mpya lakini Kulingana na msimamizi wake Jamal gaddafi, wakati huu anaingiza hela zaidi kwa mziki na biashara zingine tofauti za hapa na pale.

Je, tanasha Donna ana mchumba mpya?

Wiki kadhaa zilizopita, mwanadada huyu alisemekana kuwa na mpenzi wa asili ya kiarabu aliyesemekana kumpa tanasha kila kitu ikiwemo private jet yake.

Mwanamme huyo pia alisemekana pia kumsaidia Tanasha Donna kwa kuchanga hela ya Tanasha foundation inayohusika na kuwasaidia mayatima.
Utakubaliana na Mimi kuwa tanasha Donna anazidi kupata baraka za kila Aina katika pande zote.

Soma hii pia ( vera Sidika ameishiwa na hela?)
Tazama picha zake alizo post kwenye page yake ya Instagram kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Tanasha Donna and Jamal diamond platnumz girlfriend

 

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *