Youtube videosMziki

Video | The Ben Ft Diamond Platnumz – WHY

Video ya The Ben Ft Diamond Platnumz – WHY imeachiliwa. Ni kazi safi sana na kama umekuwa ukifuatilia kazi za diamond platnumz utakubaliana nami kwamba kazi zake zina quality ya hali ya juu. Hii ni mojawapo ya sababu inayofanya msanii huyu abaki juu kwa mda mrefu.

The Ben naye ni msanii ambaye hajulikani sana na kusema kweli wengi wamemfahamu the Ben kupitia kazi hii mpya. Ili kuitazama video ya The Ben Ft Diamond Platnumz – WHY, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *