Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah

Baada ya nyimbo ya Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah kuachiliwa, wengi walishangazwa na uwamuzi wa Alikiba kwani nyimbo yenyewe imewekwa katika kifungo Cha nyimbo za injili.

Wengi walishangaa inakuwaaje Alikiba akaamua kufanya mziki wa injili. Tukiyasahau ya watu, nyimbo hii ya Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah  ni nyimbo yenye uvuto sana na naweza sema ni Kazi kubwa wawili hawa wamefanya.

Hii ni Kati ya zile nyimbo zenye hazizeeki na utamu wake hauishi. Kuitazama video ya Tommy Flavour feat Alikiba – Jah Jah fuata link ifuatayo.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *