Mchipuko

Ugomvi wa Alikiba na Shilole: Shilole amchana Alikiba

Kama umekuwa ukifuatilia Sanaa ya bongo utakuwa umesikia ugomvi wa Alikiba na Shilole.

Baada ya kualikwa kupitia page ya Alikiba, inasemekana Shilole hakupewa mwaliko rasmi na Alikiba. Alikiba alisema hayo kwenye radio moja maarufu nchini Tanzania huku akiongezea kwamba hangeweza kumualika Shilole kwani wawili hawa hawana mazoea.

Shilole photos

Kupitia Instagram yake, Shilole amesema Alikiba ana dharau sana baada ya ku share screen shot ya Alikiba huku akionyesha alivyoalikwa.

Kwa hasira nyingi Shilole amemchana Alikiba kupitia Instagram yake huku akisema hataweza kumfikia diamond platnumz hata siku moja.

Ugomvi wa Alikiba na Shilole

Haijajulikana wazi ni kwa nini wawili hawa wamekuwa na hasira. Ni kama Kuna beef Kati yao. Alikiba alijitetea na kusema huenda Shilole alialikwa na management kwani aliwapea ruhusa ya kualika yeyote yule kwenye listening party.

Gigy money photos

Gigy money naye hakuachwa nyuma kuhusiana na swala hilo la Shilole na Alikiba. Gigy money alisema kwamba Alikiba huwa ana maringo sana. Kulingana na Gigy money, ana penda sana mziki wa Alikiba ila inaonekana Alikiba hawathamini mashabiki wake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *