Sanaa

Utajiri wa diamond platnumz

Utajiri wa diamond

Utajiri wa diamond  hauna mfano, ni msanii mwenye bidii sana na amewashtua wasanii wengi sana barani afrika. Wengi walidai huenda akawa ni illuminati ila kulingana na uchunguzi wetu ni bidii yake iliyomueka mahali alipo.

Ni msanii anayesifika sana nchini tanzania afrika mashariki na ulimwengu mzima. Msanii huyu ameweza kuwashirikisha wasanii wakubwa kama vile rick ross na wengine. Hii haijawahi fanyika na msanii mwingine sanasana wasanii kutokea afrika mashariki.

Diamond ni msanii tajiri sana na huenda akawa ndiye tajiri zaidi afrika mshariki. Katika bara nzima la afrika, msanii huyu apo katika kumi bora ya wasanii walio na hela zaidi. Utajiri wa diamond huzua gumzo kila kuchao

Katika instagram yake, Diamond platnumz aliwahi kuweka pete na mikufu ya dhahabu na za almasi. Kulingana na yeye, hizo vitu zimemgharimu zaidi ya laki themanini dola za marekani. Usisahau msanii huyu anamiliki WCB ambapo ni tegemeo la wasanii wengi.Utajiri wa diamond

Mwaka uliopita, msanii huyu aliweza kusifika baada ya kusemekana kuwa utajiri wake ni wa zaidi ya billioni nane pesa ya tanzania.

Soma hii pia ( wasanii tajiri Tanzania)

Soma hii pia (utajiri wa harmonize)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *