Mziki

Valentine – Happy C X Adasa

Valentine – Happy C X Adasa  ndio mpango mzima na kama utakuwa unaupenda mziki wa happy c basi hii itakupendeza.

Ikiwa ni msimu wa mapenzi ujulikanao kama valentine, happy c na Adasa wameamua kuachia nyimbo inayoambatana na siku ya valentine.

Ili kuweza kuisikiza nyimbo ya Valentine – Happy C X Adasa, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *