Mchipuko

Je, Vera Sidika aishiwa na hela?

Vera Sidika amekuwa aki post video kwa Instagram yake akionyeshana mjengo wake mpya anaodai uko mombasa pwani.

Alieke video kadhaa huku maandishi ya maelezo yakiashiria kuwa huu ndio mjengo wake mpya unaosemekana kugharimu mamilioni ya pesa.

Vera Sidika house

Vera Sidika house mansion

Hii imetokea baada ya watu flani kwenye mitandao kudai kuwa siku hivi mwanamke huyu ameishiwa na pesa.

Wengi walisema biashara za vera Sidika zimeenda chini maana yeye hutegemea biashara za nje na kwa sasa biashara ziko chini kwa sababu ya coronavirus.

Vera Sidika before and after

 

Kwa sasa hatuwezi tukasema kwamba vera Sidika ameishiwa na hela kwani bado anaishi maisha yaleyale ya kifahari. Usisahau ana kampuni yake ya urembo Westland Nairobi na nyumba ya kifahari maeneo ya kitusuri.

Vera Sidika net worth

Vera Sidika ni mwanamke anayejiamini sana na Kulingana na yeye, ni tajiri kuliko wanawake wengi wanaojulikana barani afrika. Aliwahi kuwa mpenzi wa Otile Brown ila waliachana kwa madai kuwa, Otile brown kupenda kuombaomba pesa kwake.

Soma hii pia (chanzo Cha Otile kuacha na vera Sidika)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *