Youtube videosMziki

Video | Happy C – Mateka

Happy C – Mateka ni Kazi moja Safi sana na popote gavana wa mombasa alipo ana raha sana kwani kijana wake happy C anafanya Kazi nzuri.

Happy C hakuanza mziki Leo, amekuwepo kwa mda na tunaweza sema saa hii ndio nyota yake inang’aa. Kwa sasa Kazi zake zinaonekana kila sehemu na mashabiki wengi wameanza kufuatilia Kazi zake.

Nyimbo yake mpya ya mateka ni mtindo wa lingala na ukiisikiza kwa makini sana utagundua kwamba staili yake ni kama ya msanii Alikiba. Kwa sasa wacha tukomee hapo nikupe nafasi ya kuitazama video ya Video | Happy C – Mateka.

Happy C mateka ( download mp3 here)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *