Video | Otile Brown X Darasa – K.O (Tiktok)
Otile Brown X Darasa – K.O (Tiktok); ni kazi mmoja Safi sana na video imesimama. Otile Brown ameamua kufanya Jambo ambalo sio wengi walitegemea.
Otile Brown ndiye anayesemekana kuwa na views wengi nchini kenya ndani ya youtube. Darasa naye ni msanii anayejulikana sana nchini Tanzania na pia ako na views wengi.
Kwa Mara ya kwanza tazama video ya Otile Brown X Darasa – K.O (Tiktok) hapa mwangaza news