Mziki

Wanani remix – Bahati feat Mejja, Petra, Odi wa Murang’a, Ssaru and Benzema

Wanani remix – Bahati feat Mejja, Petra, Odi wa Murang’a, Ssaru and Benzema Ni nyimbo iliyopokelewa vizuri sana na watu na inafanya vizuri kwa mitandao ya kijamii

Kumbuka nyimbo hii ni ya bahati na kabla ya hii remix aliwachia video ya kwanza ambapoa  alimhushisha mkewe Diana Marwa.

Wanani remix - Bahati feat Mejja, Petra, Odi wa Murang'a, Ssaru and Benzema

Wanani remix – Bahati feat Mejja, Petra, Odi wa Murang’a, Ssaru and Benzema kwa sasa inapata utazamaji mkubwa ndani ya YouTube na kwa sasa iko namba tatu ndani ya Afrika mashariki.

Kumbuka mejja aliwahi kufanya colabo na femi one na nyimbo yao ikawa gumzo mtaani kwani ilipata umaarufu zaidi kwa mda mfupi

Soma hii pia (femi one ajipata matatani)

wanani remix mp3 music download

Tazama video mpya ya Wanani remix – Bahati feat Mejja, Petra, Odi wa Murang’a, Ssaru and Benzema kwa kubonyeza link ifuatayo

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *