Youtube videosMziki

Willy Paul – Chocolate | Video

Willy Paul – Chocolate ndio mpango mzima. Ni juzi tu Willy Paul aliachia nyimbo yake ya toto ambayo pia inafanya vizuri kwa sasa. Kumbuka msanii huyu alikuwa akifanya mziki wa kumsifu Mungu ila akaamua kuingia kwa mziki wa dunia. Ili kuitazama video mpya ya Willy Paul – Chocolate, bonyeza link ifuatayo.

(Tazama Willy Paul – Chocolate hapa)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *