Zuchu Ft. Diamond Platnumz – Litawachoma
Zuchu Ft. Diamond Platnumz – Litawachoma ni colabo mpya ya hawa wasanii wawili. Kumbuka kuna fununu ziliwahi kutokea kwamba wawili Hawa Wana uhusiano wa kimapenzi.
Litawachoma ni nyimbo mpya na haikuwa kwenye EPl ya hapo mwanzo. Hii Ina maana kuwa Zuchu Ft. Diamond Platnumz – Litawachoma imerekodiwa juzi.
Kuisikiza, Zuchu Ft. Diamond Platnumz – Litawachoma fuata link
Soma hii pia (uhusiano wa diamond platnumz na zuchu)
2,797 total views, 1 views today