Mziki

Zuchu Ft Khadija Kopa – Mauzauza (Official Music Video)

Kama unapenda mambo ya uswazi, Basi  Zuchu Ft Khadija Kopa – Mauzauza (Official Music Video) itakufaa zaidi. Ni video moja kutoka kwa wawili hawa ambao kama umekuwa ukifuatilia sanaa Basi unaelewa wawili hawa ni familia.

Zuchu Ft Khadija Kopa - Mauzauza

Khadija kopa ni mamake Zuchu. Zuchu ni msanii aliye chini ya usimamizi wa kampuni ya wasafi na kwa sasa ameachia video kadhaa chini ya uongozi wake wa WCB.

Unaweza tazama video mpya ya ruby nakna willy Paul kwa kubofya hapa

Kwa sasa ameamua kuachia kazi mpya na mzazi wake Khadija kopa na hii ndio kazi yake mpya akiwa ameshirikisha mamake mzazi. Zuchu Ft Khadija Kopa – Mauzauza sio nyimbo mpya ila video yake ilifanya kuchelewa kiasi lakini utakubaliana na Mimi kuwa huko kuchelewa kumezaa matunda.

Kabla ya Lisa limoja lililopita, Zuchu Ft Khadija Kopa – Mauzauza (Official Music Video) ilikuwa ishafikisha watazamaji zaidi ya elfu hamsini.

Itazame hapa mwangaza news kwa Mara ya kwanza kwa kubofya link ifuatayo

Zuchu Ft Khadija Kopa – Mauzauza (Official Music Video)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *