Kaveve Kazoze Lyrics By Ngesh
Kaveve Kazoze Lyrics zinatafutwa sana kwenye mitandao kwani kila mmoja anataka kujua anachomanisha Ngesh wa Vasha. Nyimbo hii iliomtoa Ngesh yajulikana kama Rieng Genje ya kikundi kinachojulikana kama Spider Clan. Fata nafasi ya kuzipitia kaveve kazoze lyrics
Kaveve Kazoze Lyrics
“Kaveve kazoze
Unibebe hata
Mbele ya kirindi
Sitambui wewee maunenge
Mamina maembe na marenge
Ngesters ni modem Wa matom
Chain chain ifike
Hadi kwa dorm Magalbaze Wangu
Ni madot com
Cash crop za nyandarua ni mawaru
Rieng genje
Nganya tifi ni subaru
Niliachwa na kargo
Nikatekwa na kaparo
Mataro master Wangu
Ni kamaru.”
Tazama video ya Kaveve Kazoze hapa