Mziki

Ngai Mbene – Wilberforce Musyoka

Ngai Mbene ni nyimbo ya msanii kutokea kenya anayejulikana kwa jina Wilberforce Musyoka. Hufanya Nyimbo za Injili ila kwa lugha ya Mama. Wilberforce Musyoka ni Mkamba na amekuwa kwa mziki kwa miaka zaidi ya Kumi. Pata nafasi ya kuiskiza nyimbo mpya ya Wilberforce Musyoka kwa jina Ngai Mbene.

Ngai Mbene – Wilberforce Musyoka mp3 download

Tazama video hapa

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *