Mziki

Zabron Singers – Uko Single ?

Zabron Singers wameachia nyimbo mpya kwa jina Uko Single?. Ni swali wanauliza wenye bado hawako kwa ndoa na kusema kweli hii nyimbo ni nzuri sana wakati wa harusi yako. Zabron Singers wamekuwa wakiachia nyimbo nzuri na huwa zatumika harusini

Zabron Singers – Uko Single mp3 file

Unaweza pia ukatazama Video ya Uko Single ya Zabron Singers hapa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *