Mziki

Rosa Ree – Mama Omollo

Mama Omollo ni nyimbo yake Rosa Ree ambayo ni diss track kwa Khaligraph Jones, Msanii kutoka nchini Kenya. Hii ni baada ya Khaligraph Jones Kusema Tanzania wasanii wa Hiphop wameisha na kwa sasa chenye wanaweza ni Mziki wa Amapiano. Rosa Ree alichekesha kwenye mistari yake baada ya Kumwambia Khalighraph akashindane na Kaveve kazoze.

Rosa Ree – Mama Omollo mp3 download

Tazama Mama Omollo video hapa

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *