Mziki

Kusah – Kifo : Kifo cha Haitham Kim

Baada ya kifo cha haitham kim, Kusah ameachia nyimbo kwa jina Kifo ambayo inaendena na wakati huu watanzania wamempoteza haitham kim, mmoja wa wasanii wa Bongo Flava. Kifo cha haitham kim kimekuwa na utata huku Mwijaku akisema wasanii wa Tanzania walikuwa na uwezo wa kuchanga pesa za matibabu ila hawakutaka.

Kusah – Kifo mp3 download

Unaweza ukatazama video ya Kifo yake Kusah

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *