Ethic Entertainment – Kunoma
Ethic Entertainment wako na nyimbo mpya kwa jina Kunoma. Wasanii hawa walikuwa wameachana na kila mtu alikuwa akifanya kazi kivyake kama vile RecKless ambaye bado hayuko na wenzake. Kunoma ndio nyimbo mpya ya Ethic Entertainment.
Ethic Entertainment – Kunoma mp3 download