Mziki

Nakupenda – Vijana BaruBaru & Gogo Ashley

Nakupenda ni nyimbo mpya Vijana BaruBaru pamoja na Gogo Ashley. wasanii hawa wametokea nchini kenya na kama ni sauti, wasanii hawa wako sawa. Kumbuka kuna nyimbo yao kwa jina Sasa hivi iliwahi kuwa kubwa afrika nzima mpaka Nandy akaomba kufanya remix na vijana Barubaru.

Nakupenda – Vijana BaruBaru & Gogo Ashley mp3

Pia unaweza kutazama video hapa

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *