Jovial- Naapa
Naapa ndio nyimbo mpya ya Jovial na kusema kweli hii ni kubwa sana. Kumbuka Jovial ashawahi fanya collabo na wasanii wakubwa sana kutoka Tanzania kama vile Darasa na Mariio. Pata nafasi ya kusikiza na kutazama Jovial- Naapa
Unaweza ukatazama Naapa yake Jovial hapa