Trio Mio – Hazardous ft Breeder LW
Baada ya kumaliza shule, Trio Mio anaonekana kuingia mzima mzima kwenye mziki. Anaachia nyimbo baada ya nyengine na kusema kweli anayo talanata. NYimbo yake mpya alioachia inajulikana kama Hazardous akiwa ameshirikiana na Breeder LW.
Trio Mio – Hazardous ft Breeder LW mp3 download
Tazama video hapa