MzikiYoutube videos

Brandy Maina – Alini Block

Brandy Maina ana nyimbo mpya kwa jina Alini Block. Msanii huyu aligonga vichwa vya vyombo vya habari baada ya kuwa mmoja aliyoshiriki kwa nyimbo ya Kuna Kuna iliyokuwa na wasanii wakali kama vile Fathermoh na Ssaru. Pata nafasi ya kuisikiza Alini Block, Nyimbo yake mpya Brandy Maina.

Brandy Maina – Alini Block mp3 download

Tazama video hapa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *