Mziki

Zuchu – Naringa

Naringa ni nyimbo mpya ya Zuchu na kusema ukweli ni hii nyimbo tunaweza sema ni kama nyimbo ya dini vile. Sio wa kwanza kuachia nyimbo ya dini kwani ni hivi majuzi Nandy nae kaachia Nyimbo kwa jina follow ambayo tunawe sema ni Gospel. Pata nafasi ya kuskiza Naringa yake Zuchu hapa.

Zuchu – Naringa mp3 download

Tazama Naringa Zuchu lyrics video hapa

Zuchu – Naringa lyrics

Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaa andika
Na sianguukia

Mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniuwe ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri, na kuwa gado kamili
Ukitaka kunidhulumia upite kwake kwanza
Mungu wangu halali anaulinzi mkali

Na ndio maana naringa, naringa, naringa
Nalindwa na mungu msinione
Navimba na vimba na lindwa na mungu
Na ubaya wa ubinafsi hajaumbiwa

Nyumbu nyumbu wala mtu mwenye
Mali kweli mabaya sikosi nayajua
Mazuri yangu mtayasema nikifa eeh
Unaniona na pambana
Kwa tabu na dhoruba nilinde virago vya
Walimwengu visinifike ng’o utadhani wao hawana

Umewapa vikubwa ili hiki
Kidogo changu kinawatoa roho eti
Nasianguuki mimi nimechaguliwa aaaah
Nnaemtegemea hachoki hajawahi kupitiwa

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *