Fid Q – Champion
Baada ya bifu inayoendelea nchini Kenya, Fid Q ameamua kuachia kazi yake mpya kwa jina Champion. Ni kazi iliokwenda shule na amewakimbusha watu kuwa ana uwezo mkubwa sana katika mziki wa hiphop. Imapate Champion mp3 yake Fid Q hapa.
pia unaweza ukaitazama video ya Fid Q – Champion hapa