Afya

SABABU ZA KUPUNGUA/KUKOSA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE 

SABABU ZA KUPUNGUA/KUKOSA NGUVU ZA KIUME NA MATIBABU YAKE

Kuna pendekezo la mtu mmoja alisema bora mtu kwanza afahamu kwanza visababishi

Katika maisha ya kila siku kutokana na vyakula ,vinywaji nk ,haya matatizo unaweza kuyapata na ukajiuliza umepungukiwa nguvu namna gani

#makala yangu ya awali nilieleza vizur ule mchanganyiko ambao ndo unaunda (heshimayandoa) napia habari nzur na uwezo wa (mlingo)

Katika Makala yangu ya vyakula vinavyotibu nguvu za kiume watu wengi nliokutana nao na wengine wamekuwa wakinipigia simu wakisema “mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila nawahi kufika kileleni” wengine wakisema “ mimi niko sawa sawa ila tu nakosa hamu ya tendo la ndoa, wengine wanasema mimi tatizo langu ni kuwai kufika kileleni lakini nikifika nashindwa kuendelea na tendo

Ukosefu wa nguvu za kiume na matibabu yake

Ukweli kuhusu ukosefu wa nguvu za kiume

Ukweli wa mambo ni kwamba

  1. Kama unakosa hamu ya tendo la ndoa, una tatzo la nguvu za kiume .
  2. Kama uume hausimami barabara , una upungufu wa nguvu za kiume
  3.  Kama uume unasimama na kulegea kwa muda mfupi au kwa mwanamke fuuani unafanya nae sawasawa ila kwa mwingine mambo hayaendi sawa, basi una tatzo la nguvu za kiume.
  4. Kama uume wako hulegea tu muda mfupi baada ya kuingia ukeni, una tatizo la nguvu za kiume
  5. Kama unasikia maumivu wakati wa tendo na wakati uume ukisimama una tatzo na nguvu za kiume
  6. Kama unashindwa kutoa mbegu (shahawa) au unatoa mbegu nyepesi una tatzo la nguvu za kiume
  7. Kama unashindwa kurudia tendo mara ya pili una tatizo kubwa la nguvu za kiume
  8. Kama unashindwa kufika kileleni wakati ukiendelea na tendo una tatizo kubwa la ukosefu wa nguvu za kiume.

Ndugu yangu kama una baadhi au unahisi una dalili za kuwa na matatizo yaliyoainishwa hapo juu basi nakushauli uchukue hatua haraka sana, hi ni kwa sababu kuchelewa kwako kutakufanya hapo baadae tatizo liwe kubwa Zaidi na huenda ukashindwa kulitibia au ukaja kulitibia kwa gharama kubwa Zaidi ya ile iliyotakiwa. Kumbuka kwenda kwako hospitali utapoteza pesa na kujiharibu Zaidi maana utapewa dawa za kukusaidia muda mfupi wakati wa tendo na utaendelea kuharibu mwili wako.

Iwapo una matatzo ya nakutokea jua kabisa una tatizo la NGUVU ZA KIUME sasa ni muda muafaka wa kuanza kutafta matibabu sahihi bila kuchelewa na unapoanza kujitibu ni vzuri zaid kabla mambo hayajawa mabaya zaid unakuwa unajitengenezea mazingira ya kupona lakini chelewa chelewa ….utakuta mwana si wako

Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume

 

Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia

  • Matumizi ya Viagra
  • Kupiga Punyeto(masturbation)
  • Maradhi ya mishipa ya damu
  • Shinikizo la damu la kupanda na kushuka
  • Unene mkubwa na kitambi
  • Kisukari
  • Maradhi ya moyo
  • Sigara, pombe na madawa ya kulevya
  • Kuendesha magari makubwa kwa mda mrefu
  • Lishe mbovu, mfumo mbaya wa maisha, umri, majeraha na vidonda vya tumbo
  • Msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
  • Ngiri na maradhi ya zinaa
  • Uraji wa vyakura vyenye kemikali (chemicals)

https://mwangazanews.com/vyakula-vya-kuongeza-damu-mwilini/

Soma hii pia (vyakula vya kuongeza damu mwilini)

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *