Mchipuko

Wasafi FM yafungiwa na TCRA

Wasafi Fm yafungiwa na TCRA kwa mda wa siku saba. Radio hii inamilikiwa na diamond platnumz. TCRA wakitangaza tangazo hilo September 11. Sababu ya kuifungia wasafi FM ni ukiukaji wa maadili ya jamii kwa kutumia lugha chafu.

Director wa TCRA bwana james kilaba alisema wasafi FM walitumia lugha chafu mnamo August 1 na August 4 kwa vipindi vyao viwili ikiwemo ‘Switch’ na “Mashamsham’ Kulingana na bwana kilaba, wasafi FM ilikiuka Sheria za utangazaji zilizowekwa na TRCA

“Kuanzia Sasa natangaza kuwa wasafi FM waache kutangaza na waweze kuandika barua ya kuomba msamaha kabla ya siku tano.. alisema kilaba

logo ya wasafi FM

Baada ya ujumbe huo. Mkurugenzi wa Wasafi FM naye aliweza kujibu kwa kuomba msamaha kwa kile  kilichofanyika Wasafi FM; utumiaji wa maneno mabaya. Mkurugenzi huyo aliongeza kusema wasafi FM imekubali makosa yao na hawatarudia walichokifanya. Wasafi FM itarudi hewani September 18 2020

Loading

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *