Krg The Don X Lava lava X Mbuzi Gang-Ushasema | Video
Krg The Don X Lava lava X Mbuzi Gang-Ushasema ndio Kazi mpya inayotesa huko bongo. Muungano huu ni hatari na kila mtu amefanya Kazi kubwa
Video ya nyimbo hii Ina quality nzuri na kusema kweli inapendeza. Ili kuitazama video ya Krg The Don X Lava lava X Mbuzi Gang-Ushasema bonyeza hapa