NDOTO ZA NYOKA NA MAANA ZAKE
NDOTO ZA NYOKA NA MAANA ZAKE
unapomuota nyoka amekufa,ni ishara Umeepushwa na uadui na shari yake
unapomuota nyoka mdogo ni biashara ya kupata mtoto
unapoota umemuuwa nyoka juu ya kitanda chako,utafiliwa na mkeo
ukiota umemuuwa nyoka kwa fimbo ni ishara ya kuwa utaowa
NDOTO ZA NYOKA Zaidi
ukiota umemuuwa nyoka kwa jiwe ni dalili ya kupona sihri uliyonayo na kutoka kwa jini mwilini mwako
ukiota umemuuwa nyoka kwa upanga na kumgawa vipande v3 utamtaliki mkeo talaka 3
ukiota joka kubwa linajizongazonga mwilini mwako ni dalili ya jini aloingia mwilini anatafuta sehem ya kujificha ndani ako
ukiota nyoka anaungua kwa moto ni dalili ya kufanya kazi kwa kile kisomo cha Ruqya alicho fanyiwa mgonjwa
ukiota unafukuzwa na nyoka ni dalili ya kuwa jini aliekuingia hajakaa vizuri mwilini mwako,au ni jini afriti jini mbaya anakuandama au adui yako yupo mbion kukudhuru
-ukiota una nyoka shingoni mwako ukamkata kata utatoa talaka kwa mkeo
. Kuota nyoka mara kwa mara ni dalili ya wewe una Jini mahaba ana kuandama mwilini mwako ukiwa ni Mwanamme utakuwa una jini Mwanamke anaye kuharibia nguvu zako za kiume na kukuharibia kazi na maisha yako yanakuwa ni magumu kila unacho kifanya hakiwi. Ukiwa ni Mwanamke unaota kila mara nyoka ni dalili ya wewe kuwa una jini Mwanamme Jini Mahaba anaye kutia mikosi na kukuharibia Wanaume na kizazi chako na maisha yako fanya umtoe haraka.
Ukiota wanyama weusi pia ni ishara ya uadui
Kuota ndoto za vifo au watu waliokufa kuota unafanya mapenzi kuota upo shule kuota unapaa tayari
Imeandaliwa na Dr Suleh Mpenz…..
Soma hii pia ( jinsi ya kuoga janaba)
4,082 total views, 3 views today