Youtube videosMziki

Bensoul feat. Nviiri The Storyteller – Summer Bunny

Bensoul feat. Nviiri The Storyteller – Summer Bunny ndicho kifaa kipya kinachotesa anga kwa sasa.

Bensoul ni mmoja wa sol generation. Kikundi hili kina wasanii kadhaa wakiwemo sauti sol ambao ndio wanzilishi. Wasanii walioko kwenye kikundi hiki ni wakali ki aina na kila mtu ana uwezo wake.

Ili kuweza kuifurahia kazi mpya ya Bensoul feat. Nviiri The Storyteller – Summer Bunny, bonyeza link ifuatayo uwezo kufurahia mziki mzuri kutoka nchini kenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *