Youtube videosMziki

Platfom Tz x Ruby – Katu | Video

Platfom Tz x Ruby – Katu ni nyimbo iliyoachiwa na tayari imeshika Kasi. Imepata utazamaji mkubwa kwenye mitandao ikiwemo YouTube na zinginezo.

Platfom Tz sio msanii wa zamani vile ila kazi yake imesimama. Ruby naye kama kawaida ametenda haki kwa hii nyimbo na kusema kweli ni Kazi iliyosimama. Ili kuitazama video ya Platfom Tz x Ruby – Katu, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *