MzikiYoutube videos

Diana bahati – Hatutaachana | Video

Familia ya bahati Kenya imeamua kuingia kwa biashara ya mziki. Diana bahati – Hatutaachana ndio nyimbo ya mpenzi wa bahati na ameamua kufanya mziki wa kufoka.

Diana bahati songs

Familia ya bahati inajulikana sana kwani kila siku wanazo drama za kila aina na ukitaka kuzitama unaweza kuzipata kwa Instagram page zao.

Ili kuitazama video ya Diana bahati – Hatutaachana, bonyeza hapa na unaweza comment hapa chini utufahamishe kama ako na talanta ama aachane na mziki na afanye biashara nyengine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *