Youtube videosMziki

Willy Paul – Tupewe Pombe – (Official video)

Kama umekuwa ukifuatilia Sanaa, wasanii wengi wamekuwa wakiachilia nyimbo zinazohusiana na pombe. Willy Paul – Tupewe Pombe ni nyimbo mpya inayosifia kinywaji Cha pombe.

Hii ni moja ya nyimbo za willy Paul zilizoko kwenye Ep yake mpya kwa jina African exipirince. Kwa siku kadhaa zimepita, Willy Paul amekuachia akiachia video moja baada ya nyengine. Kumbuka msanii huyu aliachia video ya Diana na pia pressure aliyoifanya na miss p, msanii mpya wa kike ndani ya label yake.

Kabla ya masaa kumi na mbili kuisha, album ya Willy Paul ilikuwa imesikizwa na watu zaidi ya laki ndani ya boom play. Ili kuweza kuitazama video ya Willy Paul – Tupewe Pombe, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *