MzikiYoutube videos

Video | Willy Paul – Diana

Baada ya kutambulisha msanii mpya wa kike kwa jina queen P, willy Paul ameachia nyimbo mpya inayojulikana kama “Diana”. Ni kazi nzuri sana na kama kawaida anajua chenye anafanya.

Willy Paul – Diana utaipata hapa mwangaza news kwa Mara ya kwanza. Bonyeza link ifuatayo ili uweze kuitazama video ya Willy Paul – Diana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *