MzikiYoutube videos

Stivo Simple Boy – Haleluya ft Tess Kambua | Video

Stivo Simple Boy imekuwa gumzo kwa mda mrefu sana. Wengi husema kuwa hana talanta na hajui mziki ila yeye bado anazidi kufanya bidii kwa mziki. Stivo Simple Boy – Haleluya ft Tess Kambua ndio habari ya mtaa.

Juzi alimsopoa meneja wake na kusema kwamba hapati mapato mazuri kutokana na mziki wake. Ili kuitazama video ya Stivo Simple Boy – Haleluya ft Tess Kambua, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *