MzikiYoutube videos

Nyashinski – Properly ft Femi One (Official Music Video)

Nyashinski – Properly ft Femi One ndio Kazi mpya inayotesa nchini Kenya. Nyashinski kama kawaida ni msanii ambaye hata akinyamaza miaka mingapi bado akitoa nyimbo inazidi kuwa kubwa.

Femi One naye ni msanii mkali kutoka label ya king kaka na aliwahi kivuma na nyimbo yake “utawezana”. Ili kuweza kuitazama video ya Nyashinski – Properly ft Femi One, bonyeza link ifuatayo.

Tazama  video hapa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *