Youtube videosMziki

Best Naso – Kaza Moyo

Kaza Moyo ndio Kazi mpya ya msanii Gwiji anyejulikana kama best Naso. Huyu ni msanii anayeelewa sana mziki na akija kunyamaza kwa mda wengi humtamani sana.

Nyimbo zake zina mafundisho ikiwemo hii ya Kaza Moyo. Anampa Moyo mpenzi wake asilie na kumpa radhi aweze kuolewa na rafiki wake Naso kwani yeye ana maradhi ya moyo yenye hayawezi kupona.

Best Naso – Kaza Moyo ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia sana na ukiisikiza unajihisi unashuhudia tokeo la ukweli. Ili kuweza kuitazama video ya Best Naso – Kaza Moyo, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *