Youtube videosMziki

Mr Blue – Mpenzi adui Ft.Aslay

Mr Blue – Mpenzi adui Ft.Aslay ndio mzigo mpya aliyoachiwa. Ni nyimbo nzuri sana na pia Ina mafunzo. Kama unavyojua Mr Blue ni mtu wa kufunika naye aslay amekuwa kimya kwa mda mrefu na wengi walimtamani sana.

Kwenye Mpenzi adui, Aslay amepiga chorus naye Mr Blue akapiga vesi. Kuipata kazi hii ama kuitazama video ya Mr Blue – Mpenzi adui Ft.Aslay, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *