MaishaMchipuko

Zuchu na diamond platnumz ni wapenzi?

Katika Yale maswali yanaumiza akili za watu kwa sasa, mojawapo ni je, Zuchu na diamond platnumz ni wapenzi?. Mapenzi ni kama kikohozi hayafichiki na ukisikia wengi wakisema Jambo fulani basi ujue kuna uwezekano wanayosema ni kweli. Ndio maana ya msemo wa lisemalwo lipo na kama halipo laja.

Diamond platnumz amekuwa akizipachika picha za zuchu kwa page ya Instagram kwa mda mrefu sana. Anaweza akaamuka tu na kueka picha ya Zuchu hata kama zuchu hana project yoyote.

Zuchu na diamond platnumz ni wapenzi

Juzi diamond platnumz na Zuchu waliweza kuwa na dinner pamoja. Wawili hawa walivalia nguo nyekundu, rangi inayoashiria mapenzi. Kwenye post zake diamond platnumz aliweka background music za mapenzi ikiwemo for your love yake zuchu na Mbosso.

zuchu and diamond dinner date

Wawili hawa walitoka na gari mpya ya diamond platnumz Royce roll huku diamond amevalia suti nyekundu. Zuchu naye alieka kipande za video kinachonyesha akiwa amevalia dress nyekundu.

Je, Zuchu ndiye mpenzi mpya wa diamond platnumz? Hii ni habari tunayoipa kipao mbele na tunaifuatilia kwa sana. Huenda ikawa habari Kuu mwaka wa 2022 na utapata matokeo yote hapa mwangaza news.

Ishara zote zinaonyesha kuwa diamond platnumz na Zuchu wanachowachokipika na hivi karibuni tujajua kama Zuchu na diamond platnumz ni wapenzi ama labda ni njia ya kuteka akili za watu kama njia moja ya kuuza mziki wao. Zidi kutegea mwangaza news kwa mengi zaidi.

Soma hii pia: sikuhusika kwa diamond kuachana na Tanasha in

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *