Youtube videosMziki

Guchi – Benzema | Video

Kwa wale walikuwa wanangojea kwa sana video ya Guchi – Benzema, mnaweza kuipata hapa mwangaza news.

Guchi - Benzema video

Guchi ni msanii kutoka nchi ya Nigeria aliyevuma na nyimbo ya Jennifer. Kumbuka pia aliwahi kufanya kolabo na Rayvanny kwa jina sweet love iliyopokelewa vizuri sana.

Guchi ana sauti nzuri sana na kwa vile umri wake bado mdogo, huenda akafurahia maisha ya mziki kwa miaka mingi sana. Ili kuweza kuitazama Guchi – Benzema, bonyeza hapa chini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *