Youtube videosMziki

Kagwe Mungai – Mbogi Ya Madenge ft. Benzema

Kama utakuwa maeneo ya Nairobi ama nchi ya Kenya basi habari tunazozipa kipao mbele ni nyimbo ya Kagwe Mungai – Mbogi Ya Madenge ft. Benzema.

Ni video ilioachiwa na kuanza kupata utazamaji mkubwa sana. Mziki wa genge tone umekuwa maarufu sana nchini kenya na wasanii wengi nchini humo wameamua kufanya genge tone kwani mziki huu una mashabiki wengi.

Kagwe muigai songs

Kagwe muigai hufanya mziki japo huchukua mda mrefu kabla hajaachia nyimbo hii Ina maana ameshikika na Kazi zingine. Cha ajabu ni kwamba, hata akikaa mda mrefu kabla ya kuachia mziki, bado watu hukubali Kazi zake.

Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news, tazama Kagwe Mungai – Mbogi Ya Madenge ft. Benzema ambayo ni Kazi mpya ya wasanii hawa wakenya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *