Youtube videosMziki

Mungu wa bahati – Dk Kwenye beat ft. Bahati

Baada ya kuachia album ama ukipenda EP ( extended playlist), Bahati anazidi kuachia video. Mungu wa bahati – Dk Kwenye beat ft. Bahati ndio Kazi mpya na tayari ipo ndani ya youtube.

Bahati ni msanii mwenye huenda ukashindwa kumuelewa kwani anafanya mziki aina ya gospel na secular. Huenda ikawa anafuata nyayo za mwenzake willy Paul ambaye pia Hana mziki maalum.

Kwa Mara ya kwanza hapa mwangaza news, tazama video ya Mungu wa bahati – Dk Kwenye beat ft. Bahati.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *