Youtube videosMziki

Harmonize – Wishes

Harmonize – Wishes ni nyimbo iliyoachiwa Leo. Nyimbo ya wishes ni ya kizungu mwanzo mpaka mwisho. Hii Ina maana tour aliyoifanya Amerika imemfunza mengi na huenda anatafuta mashabiki wapya wenye hawaelewi kiswahili.

Ili kuweza kuisikiza nyimbo ya Harmonize – Wishes, bonyeza link ifuatayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *