Youtube videosMzikiSanaa

Jux – Sina neno ( official video)

Video ya Jux – Sina neno ipo tayari hewani. Video hii imeongozwa na gwiji wa Kazi hii ambaye ni hanscana. Video ni Safi sana na pia inaeleweka zaidi.

Kama umekuwa ukifuatilia kuhusu Vanessa mdee basi una ufahamu kwamba kwa sasa ni mja mzito na wakati wowote yeye na Rotimi watapokea mtoto wao wa kwanza.

Sina neno video jux

Kwenye mahojiano katika vyombo vya habari, jux alisema kwamba amewapa baraka zake na anawaombea maisha mema. Kumbuka jux alikuwa mpenzi wa Vanessa kabla ya Rotimi kumchukua.

Jux - Sina neno ( official video)

Jux – Sina neno ni nyimbo inayosemekana kuongea kuhusu Vanessa mdee na Rotimi. Jux anaonekana kuwasifia wapenzi hawa wapya huku akisema yeye ako sawa. Kuitazama video ya Jux – Sina neno, bonyeza hapa chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *