MzikiSanaaYoutube videos

Marioo – Beer Tamu X Tyler ICU X Visca & Abb

Marioo – Beer Tamu ndio mpango mzima. Ni nyimbo inayoshika Kasi sanasana kwa sehemu za burudani na kusema kweli wamiliki wa sehemu za starehe wameongeza mauzo ya beer.

Mario ni miongoni wa wale wasanii tajika na nyimbo zake zote zenye amewahi kuachilia huwa zinafanya vizuri kwenye soko la mziki. Ili kuisikiza Marioo – Beer Tamu, bonyeza link ifuatayo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *